Lirik Lagu Nalo Twende Nalo Sudi Boy

Them Call Me Arrow Bwoy
Aah Sudi
(Vicky Pon This)

Halibagui Mtoto Mtu Mzima
Goma Lapa Moto So Idima
Nakama Ushanisoma Mpango Mzima
Hili Goma Lapa Moto

Nasema Halibagui Mtoto Mtu Mzima
Goma Lapa Moto Usiwai Pima
Nakama Ushanisoma Mpango Mzima
Injili Ngoma Lapa Moto

Linavyokwenda Na Unakwenda
Twende Nalo
Goma Lishajiachia
Twende Nalo
Aaaaaa!
Oooooh!

Linavyokwenda Na Unakwenda
Twende Nalo
Goma Lishajiachia
Twende Nalo
Meli Ishang′oa Nanga
Basi Fanya Hima Usiachwe Nyuma

So Move Your Body Like A Snake Girl
Twende Nalo
Wolololo
Twende Nalo
Usihate Twende Nalo
Twende Nalo
Twenda Nalo
Twende Nalo

So Move Your Body Like A Snake Girl
Twende Nalo
Lolololooo
Twende Nalo
Usihate Twende Nalo
Twende Nalo
Twende Nalo
Twende Nalo

Siku Hizi Kwetu Pesa Ndio Marashi
Nusia Ka Aroma
So Take Irt Slow Don't Rush It
Anza Na Kangoma
Gimme Licklle This Gimme Lixklle That
Supu Ya Pweza Na Mshikaki
Peremende Kende Leaky Leaky That
You Better Know Them Call Me Arrow Bwoy
Niko Na Kashamba Huko Paradise
Nitakuweka Huko Juu Utafeel Nice(we Ee Eeh)

Linavyokwenda Na Unakwenda
Twende Nalo
Goma Lishajiachia
Twende Nalo
Aaah Eeeh

So Move Your Body Like A Snake Girl
Twende Nalo
Wolololo
Twende Nalo
Usihate Twende Nalo
Twende Nalo
Twenda Nalo
Twende Nalo

So Move Your Body Like A Snake Girl
Twende Nalo
Lolololooo
Twende Nalo
Usihate Twende Nalo
Twende Nalo
Twende Nalo
Twende Nalo

Ah Ah Sim Simma
Who Got The Keys To My Beamer
Hapa Mizinga Hatutambui Mama Pima
Lighter Tembeza Mjani
Goma Limeshika Nje Na Ndani
Wahajipa Wana Fulani
Lazima Tukitoka Hapa Italala Ndani

Kama Unapenda Muziki Stand Up
And Nevermind Them So Make You Line Up
Arrow Bwoy Na Sudi Boy Ndio Pilot
Wanafanya Unafeel So Nice

Ah Mi Seh Inama, Inuka
Fanya Kama Vile Unatafuta
Inama Tena Inuka

Twenda Nalo
Twende Nalo
 

 
  Sudi Boy   Writed by Admin  10x     2024-12-23 11:49:34

post a comment