Lirik Lagu Mwenyewe Harmonize
Cough
Yao Yaoo
Mmmh Mmmh MmmhAlrighty
Tisini Na Nne March Fifteen
Beginning Of My World
Nilipozaliwa Nikadondoka Chini
Hakukua Na Kitanda Kwa Ward
Basi Mgongo Wa Mama Nikaufanya Godoro
Na Kilichonikuza Mihogo Na Viporo
Nilipelekwa Shule Ila Bado Nikawa Mtoro
Kingereza Nilichokalili Labda Tomorrow Ama Today
Zikafika Time Ya Kubalehe
Nikayajua Mapenzi Nikagundua Bila Pesa Siyawezi
Ni Ujinga
Nikadondokea Umachinga
Hapakuchi Panakucha Siku Zikasogea
Pruuh Mpka Dar Es Salaama Nikaanza Jitegemea
Nyumbani Baba Na Mama Wakiniombea
Mwanetu Nenda Salama Na Ukipata Rejea
Mmh Na Ukipata
Hapo Akili Ndo Ikaanza Kukomaa
Na Nikajuta Kwanini Sikusomaa
Jinsi Jua La Utosi Linavyochoma
Na Usiku Baridi Ikanipa Homa Nusu Inuchukue Uhai Mmmh
Mi Nimepitia Mengi Ndo Mana Sio Mshamba Wa Helaa
Kwa Ajili Ya Vitu Vidogo Sigombani Na Maselaa
We Kubali Kudharauliwa
Kukataliwa
Kupata Majaliwa
Kula Kinacholiwa(mwenyewe)
Raha Jipe Mwenyewe
Basi Kamata Chupa Fungua Na Mimina(mwenyewe)
Raha Jipe Mwenyewe
Lewa Tukuone Unavyocheza Kichina(mwenyewe)
Raha Jipe Mwenyewe
Anaekupenda Zaidi Ni Wewe(mwenyewe)
Raha Jipe Mwenyewe
Ata Anaekujua Zaidi Ni Wewe(mwenyewe)
Raha Jipe Mwenyewe
Masikini Na Wanawe Tajiri Na Mali Zake
Asie Na Shida Nawe Mwache Aende Zake
Usibweteke Na Ulicho Nacho
Pia Usiteseke Kwa Walicho Nacho
Riziki Mafungu Saba Pengine Leo Zamu Ya Sita
Kaza Moyo Epusha Roho Yakusita
We Umezaliwa Peke Yako
Utakufa Peke Yako
Na Utazikwa Peke Yako
So Usiwaeleze Shida Zako
Ukidhani Ndugu Zako Kumbe Ndo Wabaya Wako
Wee Komaaa(mwenyewe)

Alrighty
Yaoo Yaoo

post a comment