Lirik Lagu Baba Yangu Fanuel Sedekia

Okay Twende

Baba Yangu Wa Mbinguni, Yanipasa Nishukuru
Isingelikua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu

Baba
(Baba Yangu Wa Mbunguni), Yanipasa
(Yanipasa Nishukuru) Isingekua
(Isingelikua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu)
Isingekua

Eeh, Baba Yangu
(Baba Yangu Wa Mbinguni) Yanipasa

Damu Yako Ya Thamani, Imeniosha Kabisa
Isingelikua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu
Isingelikua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu
Baba
(Baba Yangu Wa Mbinguni) Yanipasa
(Yanipasa Nishukuru) Isingekua
(Isingelikua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu)
Isingekua
(Isingekua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu)

Nasema Asante
(Isingelikua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu)
Ninashukuru
(Isingelikua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu)
Nakuheshimu
(Isingelikua Ni Wewe, Nisingelipata Wokovu)
Nakuabudu

Isingekua Ni Wewe, Ha Ha Tusingepata Wokovu
Haleluya
 
  Fanuel Sedekia   Writed by Admin  11x     2024-12-23 11:45:06

post a comment